My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,603
- 11,883
Sema ukweli bana
Subiria hapo hapo sasa my
Mimi ni wa upande ule mwingine, nikiwa kwenye mfungo humu sionekani kabisaa
doooh! Kwanini usionekane?Mimi ni wa upande ule mwingine, nikiwa kwenye mfungo humu sionekani kabisaa
Ndo utararibu niliojiwekea mimi jamani, siku 40 nakuwa nje ya mitandao yote ya kijamii
Sana yani. I miss those days.Tarehe na kolonya vinapaswa kuraumiwa
Jr![]()
Hahahaahahahah
Mahaba yakiwa moto moto unaweza mpigia hata baba yako sms asome






😂😂 Ngoja niruhusiwe kwanza
Depal njoo umruhusu huyu mrembo aweke vituu😂😂 Ngoja niruhusiwe kwanza
Oohh mitaa yangu kabisa kule mkuu, daah I miss Mbeya.
Hujambo wewe eti jamani
Oohh kumbe ndiyo maana? Sasa nimeelewa!Ndo utararibu niliojiwekea mimi jamani, siku 40 nakuwa nje ya mitandao yote ya kijamii
We cheka tu mama nagu lkn ujue nasuburi picha hapa au nimekosea wa kutoa ruhusa siyo Depal?😂😂🤣🤣
Sijambo mie jamani! U mzima wewe?Hujambo wewe eti jamani