Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sakayo nilishaona picha yake.
Bado ya kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi zangu nilivyokuwa kijana.
Screenshot_2020-05-15-12-20-51-1.png
 
Kwa mujibu wa ratiba dada Sakayo amesema ni kuanzia saa 8 hadi saa 9 usiku wa manane, Utawezana?
Teh teh kipindi hiki cha lockdown mara nyingi mie hulala saa 10 alfajiri mkuu. Kama picha zitanipita basi ni kwa sababu sitakuwa JF ila siyo kwa sababu nitakuwa nimelala maana mara nyingi hukesha ila sikeshi JF.

Kwahiyo huo muda kama nitaingia JF nitaona
 
Karibu mkuu muda ukifika nitakupigia nikukumbushe ili usikose

Back
Top Bottom