Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,666
- 50,980
Lockdown na hii Ramadan sio mchezoRamadan Kareem View attachment 1447986

Thank you for the disclaimer. Maana raia hawachelewi...
Umeona eenh. Yaani hujifanya wajuaji na wanachoamini wao ndiyo hicho hicho aisee.Walishaanza mbona....watu hujifanya wajuaji sana aisee!
Ni bora mara mia mtu anayejua kuwa hajui kuliko yule ambaye hajui lakini anajifanya anajua na hajui kuwa hajui!
Kilingeni Msata kaka karibu bila shaka...Boss Toa location hii inapatikana wapi, nimefuatilia mara kadhaa umepost vitu matata sana.
Sent using Jamii Forums mobile app

Pale unapochelewa msosi wa shikamoo ofisi, unajilipua tuu na chakula pendwa cha wanaume wa darView attachment 1450062
Sent using Jamii Forums mobile app

.
Pale unapochelewa msosi wa shikamoo ofisi, unajilipua tuu na chakula pendwa cha wanaume wa darView attachment 1450062
Sent using Jamii Forums mobile app




Weka pichaUzi Umepoa Sana Aisee