ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,489
- 126,769
Unasukuma ndinga mkuu, hongera sana. Hapo hata akikaa "mtoto" lazima aseme athante.
Unasukuma ndinga mkuu, hongera sana. Hapo hata akikaa "mtoto" lazima aseme athante.
Unasukuma ndinga mkuu, hongera sana. Hapo hata akikaa "mtoto" lazima aseme athante.
Unakwama mzee, unakwama sana, hata mdogo wangu Zoë anakuona hilo [emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Bahati nzuri bado hamna. passenger seat huwa safi sana siku zote .
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakwama mzee, unakwama sana, hata mdogo wangu Zoë anakuona hilo [emoji39]
Mnyaturu wa Ngabu huyo hahahaaaaa. Anakunywa juisi ya ukwaju na shawarma yake ipo kwa sahani hapo [emoji39]
Life is greeeeeeat!
View attachment 1449105
It’s hump day happiness....
Aisee!
Hahaaaa, you alright?Aisee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani anakwama sana, anasukuma ndinga kama hilo halafu anashindwa kuopoa mtoto mzuri wa kuoccupy hiyo passenger seat. Muambie hayo ni matumizi mabaya ya BMW aisee. [emoji16][emoji16]Unakwama mzee, unakwama sana, hata mdogo wangu Zoë anakuona hilo [emoji39]
Eh.....Hahaha umeongea kama baba angu...Jumapili nilimuuliza atawapeleka wapi madogo akanijibu "watatembea humu humu ndani wakichoka watalala....nilicheka