Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20200513_180743.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi hawanitoshi Boss , ,mimi sasa hivi nimegundua jamaa moja ana resources kibao, Mr Ngabu, yaani yule anafaa sana kuombwa pass. Nataka kujiexpand kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah noma iyo bro, Mr. Ngabu kazi zake si mchezo ila sidhani kama zipo jf, fanya kunikopesha mmoja kibingwa one night stand nakurudishia mzigo wako

Yale maua si ya JF ingawa wapo waliosadiki [kwenye akili zao walidhani wako sahihi kumbe wapi 😁] kuwa eti ni ya JF!

Akili za baadhi ya watu humu huwa hazivuki mipaka ya JF. Kwao kila kitu ni JF tu....nauseating!

Haya hebu chagua hapo....

15BA465D-F707-4619-929E-27474FE8D6E5.jpeg
BE055607-F0E4-4472-B1DC-BB43C1425B4C.jpeg
942DC8C4-6795-4C8C-A50C-6084754744BE.jpeg

E33988AC-7713-4AE3-A26C-EF14096163C8.jpeg

KANUSHO: Hakuna mtu hata mmoja wa JF hapo. Wanajimu msiolipwa msijihangaishe na kujiongopea kuwa mnawajua na kuanza kuwasingizia watu ambao hata hawahusiki kabisa na ambao siyo wao!!!!
 
Yale maua si ya JF ingawa wapo waliosadiki [kwenye akili zao walidhani wako sahihi kumbe wapi ] kuwa eti ni ya JF!

Akili za baadhi ya watu humu huwa hazivuki mipaka ya JF. Kwao kila kitu ni JF tu....nauseating!

Haya hebu chagua hapo....

View attachment 1449607View attachment 1449608View attachment 1449609

View attachment 1449612

KANUSHO: Hakuna mtu hata mmoja wa JF hapo. Wanajimu msiolipwa msijihangaishe na kujiongopea kuwa mnawajua na kuanza kuwasingizia watu ambao hata hawahusiki kabisa na ambao siyo wao!!!!
Thank you for the disclaimer. Maana raia hawachelewi...
 
Back
Top Bottom