[emoji23][emoji23] teh teh, wapo waliogeuka na bado wanalia kama huyo dada na wapo ambao walikuwa na misimamo na wameshaolewa.
Apumzike kwa amani legend
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] teh teh, wapo waliogeuka na bado wanalia kama huyo dada na wapo ambao walikuwa na misimamo na wameshaolewa.
By the way kumbe wapiga miluzi ni waoaji ??
Huyu jamaa namkumbuka kesi ya mbunge wa temeke Mzee kihiyo na kesi ya akasha
Wifi
Hata wanaume hulia
Jr[emoji769]
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]Never
Jr[emoji769]
Weka picha ya mtoto mweusi, asee ambiere.
Ahahaha huyo sio mtoto asee.
Mbona sielewi mimi jamani