Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,625
- 50,901
Kambi ya mapichapicha nawasalimia woteee kwa jina la yesu, corona iwapite
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo vema mkuu ingawa siku hizi stories zmekua nying kuliko SELFIKA hahahaKambi ya mapichapicha nawasalimia woteee kwa jina la yesu, corona iwapite
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo nimeliona mkuu wangu, watu hawatupii mapichapicha maneno mingi, kuna member nimemiss humu sijui kama atakuwepo kwenye uzi humu, ngoja nimtafute.Tupo vema mkuu ingawa siku hizi stories zmekua nying kuliko SELFIKA hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
I'm praying for you to get that beautiful baby girl...Nyie watu mnazidi kunipandisha tamaa ya kupata katoto ka kike..
They are so awesome Mungu anisaidie asee..sijui lini itakua
Ooh your wish of having a baby girlWhat i wish
The Gym is closed...nilikuwa Aga Khan.
Angeweka curfew at least ingesaidiaNishazoea, nilitegemea alegeze kiasi tu kwa magari binafsi kutembea.
Asante.