Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,452
- 203,045
😂😂
😂😂
Oohh vizuriNaam madame
Teh unajifukiza
Niwache bana 😂😂😂😂😂
Nafuata maagizo ya mkuuTeh unajifukiza
Sumu bado ipo patapoa usijali kabisaNilichomwa na mwiba wa samaki kama wiki moja nyuma, ila mpaka leo bado nasikia maumivu flani nikipabonyeza. Hii no normal kweli, au ndio tunaelekea kupoteza mkono kimasihara? Nimepafungua mara kadhaa lakini sioni kitu.
View attachment 1438958
View attachment 1438970
View attachment 1438966

Yan kwamba majani yote wamejifukiza!! 😀😀
Asijali wakati panamuumaSumu bado ipo patapoa usijali kabisa
Jr![]()
Sorry for that...Missing places
Jr![]()

Kitambulisho pekee kwamba uko bongo hiko, lazma powercut itokee!
Oohh vizuriNafuata maagizo ya mkuu
Blessed dear one...Am very handsome thank you very much lovely sissy
Jr![]()