Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,369
- 176,203
Njoo uchukue auntie.Auntie naomba hiyo raba
Njoo uchukue auntie.Auntie naomba hiyo raba
Shee hadi wewe unanasa?Nimenasa mahali subiri kidogo shee
Jr![]()
Auntie jamaniNjoo uchukue auntie.
HahahahhhTuchangamshe uzi kidogo, Post picha ya impression ya member wa selfika! Wengi hatujaona sura za members wengi ila Nina uhakika kuna sura unaijena akilini au unamfananisha na character flani hata wa kwenye movie au kitabu au mtu flani. Tuanze.
1. Sakayo
View attachment 1355704
2. Depal
View attachment 1355706
3. Mshana Jr
View attachment 1355708
4.Roger
View attachment 1355709
Endeeeni
Sent from my iPhone using JamiiForums




. Duh, hivi mnajua humu Jf pazuri sana, nimeshawahi pata mademu wawili wakali humu humu,endeleenu kuchat na picha, Muulizeni hata Mshana Jr.




Ooooh!! Kumbe umenasa huko, basi sawa.Acha tu shee unaweza kumiliki hirizi na bunduki lakini ukatekwa na kunaswa na.....
Jr![]()
Aiseeeeh!!!Duh, hivi mnajua humu Jf pazuri sana, nimeshawahi pata mademu wawili wakali humu humu,endeleenu kuchat na picha, Muulizeni hata Mshana Jr.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hufiki mama?Auntie jamani
Auntie nitumie basi kwenye AboodMbona hufiki mama?
Wachaa bwanaa
Mbona Nina mwaka huku ata Dalili sioni
Ntakua naferi wapi Mimi![]()
, mwaka mmoja ni muda mrefu sana. Auntie nitumie basi kwenye Abood




Nipo shemdarlin. Huo mguu shem umenichanganya changanya saana yani.Nani anakuficha?
Hv yule babedarlin wako alikuwa anaitwa Mo nimesahau id vzr yupo wapi?? Au anatumia id ganMbona hufiki mama?
Mda mref Kwa kweli miezi 12!#Jitaathmini upya mkuu, mwaka mmoja umefeli sana, mwaka mmoja ni muda mrefu sana.