Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Njaa inauma.
Sema Aki na nani nikisieHamna hata aliyejaribu, fanya kukisia basi kuna 20k inaniwasha hapa kwenye simu, mimi nipo poa vipi wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole totoNjaa inauma.
Hujui kuwa wewe ndio mpishi leo?Pole toto
Najua, haya niambie sasa unataka kula nini kipenzi?Hujui kuwa wewe ndio mpishi leo?
Guess ninachokunywa hapa, wa kwanza kupatia nampa zawadi, najisikia kutoa zawadiView attachment 1428960
Sent using Jamii Forums mobile app
. Hilo nyagi na pepsi nini? Usingizi.Najua, haya niambie sasa unataka kula nini kipenzi?
Haya njoo nikubembeleze ulale sasaUsingizi.
Yo not single no more, high life got yo back.