Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,953
Namba 2
Mimi pia naona huyoNamba 2
Yeah sijui kwanini niko hivyo, huwa napenda vitu ambavyo watu wengi hawapendi.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] khaa, wewe umejuaje.Una jicho la moyo wewe mtoto,umelenga mule mule.
Nina zawadi yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeah sijui kwanini niko hivyo, huwa napenda vitu ambavyo watu wengi hawapendi.
Nimeona.[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] khaa, wewe umejuaje.
4 ama 5 Unaweza Kuona kabisa wao ndio kama hawana shauku na Mtoto na kundi zima limewazunguka wao
Mimi hata sioni yupi mama kati yao4 ama 5 Unaweza Kuona kabisa wao ndio kama hawana shauku na Mtoto na kundi zima limewazunguka wao
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]