Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,349
- 176,148
Zile ulizotubania ukaweka gizaNtaweka tena, japo wewe ushaziona.



Zile ulizotubania ukaweka gizaNtaweka tena, japo wewe ushaziona.



Rafiki na wewe yako sijaiona!!.Zile ulizotubania ukaweka giza![]()
Zipo huko juu juu mbona.Rafiki na wewe yako sijaiona!!.
Naomba nitag!!Zipo huko juu juu mbona.
Duuh!!Naomba nitag!!
Ahhhha!!Duuh!!
Sijawahi aiseHujawahi kuziona ?
Usijali mkuu.
Hizi ndiyo Lockdown Jamz
Shee unakumbuka kuna viungo lazima vifanane eeh?
Kumbe na wewe ni mpenzi wa EDM ?
Enhee zilezile, sema ntaweka nyingine soon.Zile ulizotubania ukaweka giza![]()
Sana aise, hasa za yule dogo Alan Walker.Kumbe na wewe ni mpenzi wa EDM ?
Haya ndio maneno sasa😘😘😘Enhee zilezile, sema ntaweka nyingine soon.
Wewe ntakuletea kabisa uzione.
Wewe ni noma sana.Sana aise, hasa za yule dogo Alan Walker.
Noma wapi mkuu, watu wengi huwa wananishaanga wananiona wa ajabu eti nawezaje kusikiliza nyimbo beat peke yake bila vocals ila mie ndiyo napenda.Wewe ni noma sana.
Hata mimi umenishangaza mkuu it looks funny thoughNoma wapi mkuu, watu wengi huwa wananishaanga wananiona wa ajabu eti nawezaje kusikiliza nyimbo beat peke yake bila vocals ila mie ndiyo napenda.
Yaani kwangu mimi mwimbo ni zaidi ya vocals, naweza vutiwa na beat tu peke yake.