Hii kitu na Kisamvu mimi sipatani nayo kabisa. Kama nakuja kukutembelea ikapikwa hii mi siji tena siku nyingine
. Asante kwa kunipeleka kwetu..
HayaNimeona.
Mkuu bonge LA msosi huu lakini siunajua mambo ya kipenda roho hahahaahaHili Kande Boss?Hii kitu na Kisamvu mimi sipatani nayo kabisa. Kama nakuja kukutembelea ikapikwa hii mi siji tena siku nyingine
.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nao hao.......Noma wapi mkuu, watu wengi huwa wananishaanga wananiona wa ajabu eti nawezaje kusikiliza nyimbo beat peke yake bila vocals ila mie ndiyo napenda.
Yaani kwangu mimi mwimbo ni zaidi ya vocals, naweza vutiwa na beat tu peke yake.
Kwa kweliAchana nao hao.......
Ni no2
Yeye ndio anaonekana ndo mama hapa kwa mtazamo wangu !!Ni no2
Sura yake imeenda age kidogoYeye ndio anaonekana ndo mama hapa kwa mtazamo wangu !!
Nahisi yes
Basi hapo hamna mwenye mtoto wote wapambe tu...Mama yake ndiye aliyewapiga pichaNahisi yes
Basi hapo hamna mwenye mtoto wote wapambe tu...Mama yake ndiye aliyewapiga picha
Sent using Jamii Forums mobile app




lil mama kazaa kijiji kumbeHahah ni hivyo hivyo yanilil mama kazaa kijiji kumbe
Basi no2 ndo atakua mwanae wa 1 au sio
Oky