Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,826
Nakusubiri wewe tucheze kidalipoooHamlali? Au mnamlinda mwaka wa Adabu kaburini.....
Nakusubiri wewe tucheze kidalipoooHamlali? Au mnamlinda mwaka wa Adabu kaburini.....
Mhh amka ukafueNakusubiri wewe tucheze kidalipooo
Tunatafuta morning groly KwanzaHamlali? Au mnamlinda mwaka wa Adabu kaburini.....
Uchochezi 😂😂😂
Rudi ulale mpendwa
Wewe dada nakupenda
Ahsante wewe kaka
....Asante kwa kunipenda pia
Daah wengine huku tunachezea nyuzi joto mara mbili ya hiyo na siku nyingine ni zaidi, ila mkuu umenitamanisha kusafiri.
Karibu Mafinga, baridi ya hapa kwa hizo nyuzi joto za dar unakaaDaah wengine huku tunachezea nyuzi joto mara mbili ya hiyo na siku nyingine ni zaidi, ila mkuu umenitamanisha kusafiri.View attachment 1416155
