The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,454
- 20,857
Good, kila la kheri mpendwa
Unataka kusemaje? Akii nimecheka mno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndani ya barakoa siyo
Wahi HospNi balaa, nalinda nitakaokutana nao, Ila sina korona, nina homa tu na vidonda mdomoni [emoji23]. Wasije kunikimbia wakiniona na vidonda mdomoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha noma sana
Heshima yako mkuu, hakika wewe ni mpambanaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaNi balaa, nalinda nitakaokutana nao, Ila sina korona, nina homa tu na vidonda mdomoni [emoji23]. Wasije kunikimbia wakiniona na vidonda mdomoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko bila Bia usingizi ni mzito kuupata
View attachment 1416358
Mpendwa nakuchokoza tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Usingizi hupati ila as long as u gat aloooot of cash no probHuko bila Bia usingizi ni mzito kuupata
Hili balaa siyo la kawaida, sasa ufike mitaa ya Mgololo kule ndiyo utaipata vizuri.
Ni balaa, nalinda nitakaokutana nao, Ila sina korona, nina homa tu na vidonda mdomoni [emoji23]. Wasije kunikimbia wakiniona na vidonda mdomoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo Korea kaskazini hapa, nakohoa kwa ndani ndani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Bora ukoholee ndani ndani mkuu. Angalia mwenendo wa Data.
View attachment 1416899
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu fanya mpango unigawie basi..series