Ultrasound Scanning kwa kutumia iPhone kwa ajili ya Quick Lung Scan Diagnosis kuangalia kama vifuko vya hewa
(alveolar sacs) kwenye mapafu vimejaa maji kutokana na Pneumonia au vilevile kuangalia vifuko vya hewa (alveolar sacs) vina collapse wakati wa kupumua nje(exhale) ili kuiset Ventilator ikusaidie kuacha hewa kidogo(PEEP) ndani ya mapafu ili yasi collapse unapopumua nje(exhale)

aiseee kilombero ni wapi arusha au morogoro na mbna unijibu hvyo