looh we naye mshakunaku tangu juzi tunakuita mi na Depal haukuji ila leo kusikia tunaongelea picha za Heaven Sent ndiyo umeibuka, na kwa taarifa yako ninazo ila sikupi.