Sina kipini mie mkongo nilishindwaShesRise_1 wewe huna kipini?
Sina kipini mie mkongo nilishindwa
Heleni za masikio tu sivai hata nina allergy na mabati na uwezo wa kununua zahabu sina 😅😅😅
😹😹😹Acha zako we tupia humu vitu
Mi nna kipini na masikio nimetoboa juu na chini..!! 😹😹😹Sina kipini mie mkongo nilishindwa
Heleni za masikio tu sivai hata nina allergy na mabati na uwezo wa kununua zahabu sina 😅😅😅
😹😹tulia siku nikipita na kipini nakupa photo🥳Malaika kashuka sasa 🔥🔥
Wewe pale uarabuni unatokea ukoo upi?
Mtoto mkareeeee mpaka mkareeee treennaa Ooh My God 🙆♀️
Kwahiyo umechukua Uzuri wote mwenzetu? 😍😍
Naomba ya kipini puliiizzz
Njoo wtsp na wewe acha maringo😁😹😹😹Acha zako we tupia humu vitu
😹😹😹😹lamomy umejaribu kufanya comedyLinda mgongo geuka mbele tukuone..!! 😹
Umeanza visingizio vyako, em weka ya kipini leo nione..!! 😹😹😹tulia siku nikipita na kipini nakupa photo🥳
Imefungwa kila kitu ni hapa hapa jukwaaani😁🔥PM yako ipo wazi au umefunga? 😊
😹huamini ninachoUmeanza visingizio vyako, em weka ya kipini leo nione..!! 😹
TuliaNjoo wtsp na wewe acha maringo😁
😹😹😹 Ujue wewe wa ngapi sijui unasema hivi..!!😹😹😹😹lamomy umejaribu kufanya comedy
Siamini, unanipanga..!!😹huamini ninacho
Achana na Vijora 😁😹fanya comedy😹😹😹 Ujue wewe wa ngapi sijui unasema hivi..!!
Mi napenda utani na masihara tu!
Ila ukinikuta nimechafukwa nachafukwa kweli Sakasaka Mao ananipata vizuri..!! 😹
Usinikatili mrembo,Tulia
Weeh ushindwe 😹😹Achana na Vijora 😁😹fanya comedy
Inabidi aiseee vishimoooo kwenye mashavu😊😹😹😹 Tuongee na mods wakupe mic