Selfika na JF: Snap it. Show it

Oohh sasa watu ndiyo hawataki hayo mambo, maana hauwezi jua anaweza akanitumia mimi halafu mimi nikamtumia mtu mwingine ambaye ni me halafu huyo mtu ndiyo akamchomolea betri.

Haya mambo haya yasikie kwa jirani tu mkuu
Umenitisha

Kuanzisha sasa mtu akitaka kuniona nam video call nikiwa WC ili anione vizuri
 
Hii page Ina majini, mbona sielewi? Kuna picha Mzigua kaweka amevaa kikaptula cha jeans baharia nataka ni iscreanshoot kwa matumizi yangu binafsi nikipata sabuni ya imperial au lotion mara ghafla imepotea.. Kuna nini kinaendelea?
 


Mshana Jr kuwa na ustaarab wakati mwingine, hapa una deal na waname wanaojitambua akili, unatuonyesha maumbile yako ili iweje?
 
Hii ni kutufahamisha sisi kuwa pH ya virusi vya corona inatofautiana kutoka 5.5 hadi 8.5.

Wote tunahitaji kufanya, kupinga virusi vya corona, tunahitaji kuchukua zaidi ya vyakula vya alkali ambavyo viko juu ya kiwango cha juu cha pH cha Virusi.

Ambavyo ni:

* Limao- 9.9pH *
* Chenza- 8.2pH *
* Parachichi- 15.6pH *
* Vitunguu - 13.2pH *
* Maembe - 8.7pH *
* Tangerine - 8.5pH *
* Mananasi - 12.7pH *
* Dandelion - 22.7pH *
* chungwa - 9.2pH *

Unajuaje kuwa una coronavirus?
1. * Kuwashwa kwenye koo
2. * kukauka koo
3. * Kikohozi kikavu. *
4. Joto kubwa
5. kupumua kwa tabu

kwa hivyo unapoona vitu hivi haraka chukua maji ya moto kiasi weka limao kisha kunywa

Usibakie na habari hii peke yako. Sambaza kwa familia yako yote na marafiki. Mungu akubariki.

Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…