Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

images (6).jpeg
 
Oh! Sasa hapo unataka kujikuta muhenga mwenyewe
mimi tena😀 nimeenda nunua maziwa sana hapo kibanda maziwa

njia yangu kuu hiyo ya kwendea shule thorugh matejoo,pale kuna shortcut ipo nilikua

napita naenda tokea tejoo,mara paap Nishafka maromboso shule huyoo😅😅 nazama

ushapata picha jinsi nilivyo muhenga eeeh😂😂
 
mimi tena😀 nimeenda nunua maziwa sana hapo kibanda maziwa

njia yangu kuu hiyo ya kwendea Tejoo,pale kuna shortcut ipo nilikua

napita naenda tokea tejoo,mara paap Nishafka maromboso shule huyoo😅😅

ushapata picha jinsi nilivyo muhenga eeeh😂😂
Yan kuna majina ya ajabu huku 😀😀" kwa Tejoo sasa mkute Mmasai ama mchaga pure anavyopatamka. Yan uwa wananifurahisha sana.
Muhenga kuforce
 
Yan kuna majina ya ajabu huku 😀😀" kwa Tejoo sasa mkute Mmasai ama mchaga pure anavyopatamka. Yan uwa wananifurahisha sana.
Muhenga kuforce
vipi ngulelo jee 😂 Jina konki hilo

Achia hayo majina ya kizungu kbsa

njoo huku kitaani kwa wamasai usikie

majina ya shule na mitaa ucheke ufe
 
Back
Top Bottom