Sawa Mdogo wangu.. Nasubiri.Oohh sawa dada, nilitaka niende kwa huyo cutting master ila nitaenda tena kwa yule wa makumbusho ili nikakuchukulie taarifa zake.
Kwa kweli, kama biblia ya muumba tu imenishinda kufuata sheria zake zote ndiyo itakuwa huo upuuzi wa tamaduni za mababu.
Jaribu kwenda kama Mara tatu hivi..Utaniambia.Teh teh, kumbe wa kawaida tu?
[emoji2296][emoji2296] mkuu kwani id yako ya zamani ni ipi ??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo statement bora umewahi kuisema mwenyewe, yaani nusu nikuambie hapa kesi ya nyani umeleta kwa ngedere.Kesi ya nyani nimepeleka kwa tumbili, sasa shamba limebaki mabua[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Yeah yale mazigzag hata mi hapana, huwa naweka moja tu.Cha muhimu isiwe yale mazig zag, ila kaway kamoja tu kanapendeza kweli.
Tuma hapa sahivi bado wamelala halafu utafuta [emoji7][emoji7][emoji7]
Na wewe haka ka ugonjwa unako eh, vichwa kama vitunguu unavijua lakini?Na hiki kichwa ka kitunguu jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
Kuna vichwa vya kuweka way wewe, usijeniponza nikawa kituko.
Akituma najitoa jf.
Ndo unanishawishi kiujanja nikutumie hilo bichwa au? LolMmhh hii siyo mara ya kwanza kuona umeandika una bichwa refu kama basi, wenye mabichwa ya hivyo tumekaa zetu kimya ndiyo mkaongeage wengine kweli.
Kumbeee, basi ndiyo maana kuna siku niliota unanifundisha kupigana. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Usipate taabu, mimi na Heaven Sent ni wataalam. Njoo tukufundishe.
Umeona eenh, hata mie ndiyo nimetoka kumuambia hapa kuwa siyo mara ya kwanza kumsikia anasema hivyo kuhusu kichwa chake.Yan we dada I wish nikiona hicho kichwa [emoji3][emoji3] ni Mara nyingi sana unakisema.
Tuacheni masihara jamani wale wanaoweka "way" uwa wanapendeza mno. Binafsi kwa sasa ni ngumu kuweka ile ya machine ila kwa kitana mitoko ya weekend NAWEKA
Yes yaani kama hivyo mie ndiyo napenda... My Love for low cut... View attachment 1405594
Haki vile[emoji23][emoji23][emoji23] yule atakuwa DiasporaUSA
Happy april fool's day to you too [emoji6][emoji6]Happy fool's day[emoji188]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Hivi unajua ndoto ni kile uwazacho mchana eeeh?Kumbeee, basi ndiyo maana kuna siku niliota unanifundisha kupigana. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Weeee mi nimekulia kijijini kabisaWa dasilama[emoji23][emoji23]
Okee okee
Oohh okay sawa nitajaribuJaribu kwenda kama Mara tatu hivi..Utaniambia.
Pengine labda nimemzoea sana..
Sent using Jamii Forums mobile app