Hivi ndugu yako mtanesco huwa apitiagi nyuzi za watu kucoment?,Kama huyu mwanamuziki Jah Prayzah kutoka Zimbabwe, huwa nampenda tu sababu ya rasta zake yaani nyepesi nyembamba halafu ndefu na siyo yale mazito manene halafu mafupi.
Sasa mie huwa natakaga nisuke kama hivi
Cc Depal Weylyn View attachment 1404457View attachment 1404461
Me hapana kwa kweli 😂Uje uziweke bhana um sure utapendeza nazo .
Mimi kama sio kwetu ningeweka hizo dreadlocks
Yes...hizi zinavutia, yale manene yamekaa rough sana mabaya. Nachukiaga hata nikimuona mtu kayaweka nahisi akili yake imejaa bange 😀Kama huyu mwanamuziki Jah Prayzah kutoka Zimbabwe, huwa nampenda tu sababu ya rasta zake yaani nyepesi nyembamba halafu ndefu na siyo yale mazito manene halafu mafupi.
Sasa mie huwa natakaga nisuke kama hivi
Cc Depal Weylyn View attachment 1404457View attachment 1404461
😂😂😂😂 me mwenyewe sidhani kama Mshua angenielewa.Hehehehe mie nahisi siku nitakayowaambia wazee wangu kuwa nataka kufuga dreads kama za rastafarians wataniona mtoto wao nimeshawehuka, hawatanikataza ila wataniona kama ndiyo tayari fuse zimeshaachia kama siyo kulegea kichwani.
Huwa napenda sana kumuona mtu mwenye rasta kama zile hasa wanaume wengi ndiyo huwa zinawapendeza, ila zisiwe rough sana kama za kina Lucky Dube au Bob Marley.
Picha tafadhali. Sivijui.Paula njoo huku mamaa vimodooo.........ila style za surual uvaazo hebu jarb kuvaa na sneaker za brand kama LVMH(Louis Vuitton).....
ukipata yenye mixer ya black & gold nadhan itakufaa
Umenihamisha kabisa aisee!
Yes...hizi zinavutia, yale manene yamekaa rough sana mabaya. Nachukiaga hata nikimuona mtu kayaweka nahisi akili yake imejaa bange
Ilo hizo mtu unaonekana very smart. Mm ningeweka ningekuwa mbali sana sahivi
me mwenyewe sidhani kama Mshua angenielewa.
Siku nimenyoa kwanza alinicheka akaniuliza imekuwaje " nikamjibu ubongo unauma nikisuka
khaa, eti ubongo unauma ukisuka. Mie siku niliyonyoa home walinicheka na kuanza kunitania nikawaambia ninyi hata mfanyeje mimi ndiyo nishanyoa hivyo
pole sana, nimejaribu kufungua PM ili niweze kupata kuwasiliana kwa msg, imeshindikana.Nimevuta mpaka subira mwenyewe naona sahii anataka kwenda kwenye bangi
MI nakubali 🙌 nina experience nayo...hizo nyingine nitaenda google.pole sana, nimejaribu kufungua PM ili niweze kupata kuwasiliana kwa msg, imeshindikana.
tayari nimeshafikisha malalamiko kwa moderators ili wafanyie kazi.
simu ninayotumia ni toleo la mwaka 2019. yenyewe ni moja wapo katika simu hizi:
*sony xperia 1
*iphone 11 pro
*huawei p30 pro
*xiaomi mi note 10.
simu hizi zipo katika kundi la simu zenye uwezo mkubwa wa camera. unaweza kusoma zaidi specifications zake kwenye vyanzo mbalimbali vya mitandao.
MI inatishia soko la wakongwe katika biashara ya smartphones.MI nakubalinina experience nayo...hizo nyingine nitaenda google.
Pole kwa majanga ya PM