Pako fresh, napapenda. Bar ya ndani iko vizuri sana.pako vizuri sana depal, wifi yako ali-enjoy sana.
hizi ni baadhi ya picha nilizopiga.
View attachment 1404175View attachment 1404176
eneo lao la bar lipo poa sana. natamani ningeweka baadhi ya picha nilizopiga nikiwa eneo la bar ila kwasababu fulani fulani za privacy yangu zitoweza fanya hivyo.Pako fresh, napapenda. Bar ya ndani iko vizuri sana.
Camera yako iko [emoji108]
Nitajie jamani, labda utani inspire kuvunja kibubu ninunueeneo lao la bar lipo poa sana. natamani ningeweka baadhi ya picha nilizopiga nikiwa eneo la bar ila kwasababu fulani fulani za privacy yangu zitoweza fanya hivyo.
asante kwa kunipa credit kuhusu ubora wa camera. kuna simu fulani natumia ila siwezi kuitaja maana nitaonekanana kama "najimwambafai" [emoji1][emoji1].
labda nikukutajie PM. sio hapa.[emoji16]Nitajie jamani, labda utani inspire kuvunja kibubu ninunue
OK..toa locklabda nikukutajie PM. sio hapa.[emoji16]
hahaha...haya nitatoa, kwaajiri yako tu.OK..toa lock
Haya ahsante ππhahaha...haya nitatoa, kwaajiri yako tu.
Mkwe all is all I miss you!Aaaaaah!! Mkwe huaminiki wewe. Huchelewi kukimbia kabla haujatimiza hata kimoja hapo.
Mmmmmmmmmh!!!!Mkwe all is all I miss you!
Nipe mtoto nikufurahishe
msimu huu wa COVID-19
Sent using Jamii Forums mobile app
I miss you!
nina siku nyingi sija comment chochote kwenye uzi huu, nafurahi kuona uzi bado upo active.
hivi karibuni nilikuwa safarini katika mikoa kadhaa nchini, nayo ni dodoma, arusha, iringa, kilimanjaro na tanga.
tanzania ni kubwa sana, tusiridhike kukaa eneo moja. tupatapo nafasi, tusafiri mikoa mbalimbali ili tujionee uzuri wa tanzania na maliasili zake.
tazama timeline yangu uone misele yangu ya hapa na pale nikiwa katika miji ya mikoa niliyotaja hapo juu.
View attachment 1404079View attachment 1404080View attachment 1404082View attachment 1404083View attachment 1404084
Acha uswahili basi!!Sweetheart naingia na gear
hiyo kwa sababu ya Bi Mkubwa
wako hapo haeleweki...
Anaweza kuniumbua maana sijakamilisha
Taratibu za kimila
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmmmmmh!!!!
Mkwe una korona nini[emoji134][emoji134][emoji134]
Kwa hiyo nikuamini this time?Sweetheart naingia na gear
hiyo kwa sababu ya Bi Mkubwa
wako hapo haeleweki...
Anaweza kuniumbua maana sijakamilisha
Taratibu za kimila
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha usipopaka sasa hazitadamshi [emoji23][emoji23]
Wacha uvivuOohh ndiyo maana nikaona nitoe niachane nayo kabisa, kutunza nywele kipaji mama.
Naona imegoma kutoka πππhahaha...haya nitatoa, kwaajiri yako tu.