Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
Mie nywele zangu zilikatika ajili hiyo ya kubana kila siku tena style moja, yaani kwa kifupi mie kwenye utunzaji wa nywele ni sifuri nikaona nazionea bure tu.
Yaani hao sina tofauti nao nikisuka vitunguu vikianza tu kuwasha nasema nafumua
Mara nyingi nabana tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
