Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,467
- 203,085
Nitumie 😂Njoo nikugawie..
Nitumie 😂Njoo nikugawie..
Unaenda kunyoa lini nikusindikize? 😂Nakazia mateso haswa..nikifikiriaga kuzichana hizi nywele jamani..hua naimba hadi mapambio....Nina mpango wa kunyoa kipara fresh kabisa Kama nakaaya style..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Iddy au Kibanda cha maziwa?Njoo sakina uchukue.

hehe, steaming kwangu ilikuwa mwiko.



daah



sawa baba paroko, hongera kwa kupata kipaimala na kumunyo.
I was born Catholic, I will live and Die Catholic..hicho ndicho kiapo nilichoweka wakati napata Kipaimala na Kumunyo
Nazikula kila dakika yani,tutamu utooo
Hamna kubisha



ah we nakuelewa yaani ningekuomba wewe ushauri wa kunyoa ningekuwa nishanyoa tangu mwaka jana
Mimi hukuniambia, yani mm mtu akiniambia habari za kunyoa namsindikiza kabisa saloon
Next time uweke steaming ni mbolea kwa nywelehehe, steaming kwangu ilikuwa mwiko.
Tatizo yako mengi.Next time uweke steaming ni mbolea kwa nywele
😂😂😂😂😂ah we nakuelewa yaani ningekuomba wewe ushauri wa kunyoa ningekuwa nishanyoa tangu mwaka jana
Ebu sema kibanda maziwa banaKwa Iddy au Kibanda cha maziwa?
Ndo shida hapo zpo za kila ainaTatizo yako mengi.
😂😂😂 looh!Ebu sema kibanda maziwa bana
kibanda cha maziwa ndio nn hicho😛😅
Mirinda 😋
Ipo mpaka saivUliiona?!!! Sitaki kuamini 🤣🤣
#Naona aibu
utakionea wapi saivi limebaki jina tu mama 😅😂😂😂 looh!
Afu nikipitaga pale nakitafuta hicho kibanda sikioni