Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ungeviona vidole vyangu ndiyo ungejua jinsi gani umebarikiwa, pengine hauwezi kuona umuhimu wa miguu hadi ukutane na kiwete. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Halafu Saint Anne hata wewe tu ni dada yako, usimkosee adabu teh.
Kama tangawizi? Emu nioneshe
Halafu Saint Anne kwangu dogo tu
 
Kusuka mateso, unless uwe na nywele nyingi kama yna2.
Nyoa weka curl ndio nzuri kuliko wave
Nakazia mateso haswa..nikifikiriaga kuzichana hizi nywele jamani..hua naimba hadi mapambio..[emoji3][emoji3]..Nina mpango wa kunyoa kipara fresh kabisa Kama nakaaya style..[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No siyo beauty plus, camera ile yenyewe ya simu ndiyo inanibeba. Mie situmiagi hizi camera za kuinstall labda mtu mwingine ndiyo anipige picha kwa camera hizo, tena kwenye simu yake yeye kwenye simu yangu mi sinaga, na snapchat ndiyo kabisa sitaki hata kuisikia, katika mitandao ambayo sijawahi kuipenda mojawapo ni snapchat.
Hehehe wazee wa beauty plus sio? Ila haijalishi kama mzuri mzuri tu ila naona we hujakutana na wale ambao mpaka snapchat imewakataa [emoji23]
Me yale macho tu, woii
 
Ila mie kuna watu niliwataarifu kabisa naenda kunyoa, hakuna aliyeniunga mkono hata mmoja walijaribu kunibembeleza weee wapi mwisho wakasema niamue ninachotaka.

Mwenzao nywele zimekatika kabisa eti wao wananiambia mbona ndefu tu hizo
Una tabia mbaya sana [emoji23]
 
Hiyo curly niliwahi kuweka nikiwa na nywele ndefu, nilikaa nayo miezi mitatu tu nikarudi kwenye relaxer. Akha vilinishinda mie vya kupaka ile mimafuta ya gel kila siku na kulala na shower cap na nilivyo mvivu kutunza nywele nikajisemea cha kufia nini, mama yangu ndiyo team curly toka enzi hadi leo.
Kusuka mateso, unless uwe na nywele nyingi kama yna2.
Nyoa weka curl ndio nzuri kuliko wave
 
Hiyo curly niliwahi kuweka nikiwa na nywele ndefu, nilikaa nayo miezi mitatu tu nikarudi kwenye relaxer. Akha vilinishinda mie vya kupaka ile mimafuta ya jelly kila siku na kulala na shower cap na nilivyo mvivu kutunza nywele nikajisemea cha kufia nini, mama yangu ndiyo team curly toka enzi hadi leo.
Wakina mama wengi hupenda curl vipi vile rough unaweza weka
images (7).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom