Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na ujanja wako wote kumbe unadrive harrier mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Harrier ina tatizo gani mkuu? Hapa nilipo nadunduliza vijisenti mwezi wa 6 nami ninunue. Kama haifai toa angalizo la kitaalamu mkuu (kama siyo mambo ya akina Kiduku Lilo)

Na kati ya Harrier mpya na Rav4 mpya ipi ni bora?
 
Gari unanunua kulingana na matumizi, mazingira, na mfuko. Lazima uzingatie factors kama upatikanaji wa spare parts, engine size(mafuta), umri wa gari, n.k. Baada ya hayo sasa unafuata fahari ya macho.
 
Kama sijaona tofauti ya Harrier na lexus RX300. IMO

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Gari unanunua kulingana na matumizi, mazingira, na mfuko. Lazima uzingatie factors kama upatikanaji wa spare parts, engine size(mafuta), umri wa gari, n.k. Baada ya hayo sasa unafuata fahari ya macho.

True , I wanted to buy Toyota Yaris but i considered all factors and ended up with a 2012 BMW 116i . The price thing and fahari ya macho.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Killing time with gemini man
IMG_20200216_222755.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom