Mkuu PC gani hiyo? Imenyoooka haswa, mpaka ikabidi nifungue thread.
Mkuu PC gani hiyo? Imenyoooka haswa, mpaka ikabidi nifungue thread.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe ilimu mkuu[emoji15][emoji44][emoji44][emoji15][emoji848][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wengi hawataelewa.. Dhana ya viluwiluwi na yai
Jr[emoji769]
Nimemaliza jana hizi mbeguJamani tujenge mazoea ya kula nutsView attachment 1361777
Awwwwwww[emoji173]. Hilo ni ziwa au bahari?Home sweet Home
View attachment 1361040
Umeshiba?
Hongera, Mimi nimemaliza kipakti cha 2 ndiyo nimeanza hiki cha 3.Nimemaliza jana hizi mbegu
Sio "kihuni"?[emoji4]