Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa ni muda muafaka wa kupanda mlima.. Wazungu wanasema climb it or drink it
IMG_20200214_180847.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe una cheo gan kwenye huu Uzi?
Basi ndiyo maana kuna watu wanamchukia mtu kama Kiduku Lilo yaani yule jamaa mimi nyuzi zake nilikuwa naenjoy sana yaani vile alivyokuwa anataja tu yale magari na simu anazotumia mie alikuwa ananikosha,, haijalishi kama ni ukweli au uongo mimi hilo halinihusu mimi nilikuwa nafurahi tu maana ni afadhali hata ya yeye kuliko watu kama kina Zero IQ ambao wao muda wote wanawaza kugegedana tu na kutwa wanaanzisha nyuzi kama hizo..

Halafu hao wanaosema huu uzi ni wa kujimwambafy asilimia kubwa ndiyo hao wanaoshinda kule kwenye uzi wa kula tunda kimasihara,, wao story za kipumbavu kama zile (ambazo nyingi ni za kutunga) ndiyo huwa zinawakosha ila mtu akipost vitu kama majengo au vyakula vizuri wanakasirika..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona watu huwa wanachanganya hivi vitu viwili "uso wa kitabu" na "kitabu cha uso",, "facebook" ni "kitabu cha uso" ukisema "uso wa kitabu" unakuwa unamaanisha "bookface"..
Nipo nafuatilia matukio uso wa kitabu nimeona ni-share nanyi kidogo.View attachment 1357583

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom