Asante sana Miss. Happy Valentine to you too.
Leo hata sijala vitu vizuri mimi jamani,, nilikuwa maporini huko napiga kazi mchana nikashindia zangu dona ndondo saa hii naenda kupiga sembe kurumagia..







...kwa nani? Unaenda kusemaje?ah naenda kusema
...kwa nani? Unaenda kusemaje?
...@Karma sasa dada yupi tena? Ujuwe mimi bwana.....Si kwa dada,, Kwamba makopa yanakupagawisha..
Hahhahhahah basi umepiga za kigumu kweli... Pole na harakatiLeo hata sijala vitu vizuri mimi jamani,, nilikuwa maporini huko napiga kazi mchana nikashindia zangu dona ndondo saa hii naenda kupiga sembe kurumagia..
Saaaana mdogo wangu mzuri mzuri jamaniunapenda dada ??
Zea zea
Unamiliki kitu roho inapendaHappy Valentine's day babies. Glock & Chocolates
Kutoka mtandaoniView attachment 1356926
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa mkuu nashkuru kwa kuliweka sahihi hili.Naona watu huwa wanachanganya hivi vitu viwili "uso wa kitabu" na "kitabu cha uso",, "facebook" ni "kitabu cha uso" ukisema "uso wa kitabu" unakuwa unamaanisha "bookface"..
Hahahaahaha