Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Msalimie wifi,ndo mko zenu dubai mna enjoy
Salam zimefika tupo tunakula bata tu kama unavyoona
IMG-20200214-WA0015.jpeg


God save us
 
Wakuu baadae Jioni Mkiwa mnasherehekea sikukuu, Msisahau Mapicha ya location, Wengine tutatumia hizo location siku zingine

Zawadi pia msisahau kupiga picha, Tuvute maujuzi, Hata Kama zishakua mwilini.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Happy birthday to you mkuu!!
Mungu azidi kukutunza dear, akupe amani, furaha na baraka tele zisikupungukie!

Happy Valentine's day Mkuu!!!

Najiona meokota embe chini ya mpera!! Jioni tutafutanee
Asante sana Sakayo.. Happy Valentine too.
Bahati mbaya tayari nimepata wakunipa company, nami sio mtaalam sana wakuwapanga wawili wakati mmoja wacha niende na huyu . I'm sorry.
 
Back
Top Bottom