Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni matatizo yao binafsi πŸ˜€
Mtu anapost kile anachojisikia kushare nasi mtu mwingine huko anaanza kupata sononeko, me nimeshindwa kuwaelewa.

Aisee!!

Unajua mtu unaweza ukapost kitu ambacho wewe unakiona ni cha kawaida kabisa. Mfano sandwich ya subway [hata kama hujaila] au hata taa tu za kuongozea magari barabarani.

Lakini kumbe kuna wengine wanaona hivyo vitu ni β€˜vikubwa’ sana na vya β€˜kujimwambafy’.

Sijui kwa nini iko hivyo.

Mtu unapost picha ya kiatu. Hujasema ni chako au la. Lakini wenzio wanajijengea taswira potofu akilini mwao kuwa hicho kiatu ni chako.

Wanaanza kukuona unajimwambafy. Wanajawa unyonge wa bure [WANAJINYONGEFY].

Kumbe wala. Wewe umejiwekea tu picha.

Watu huwa wanajipa mawazo na sonona zisizo na msingi kabisa.
 
Hahahaha, ndio maana siku hz napost na kuandika wanavyotaka ,RAIA 'wanyonge' Wa Tanzania

Hahaha.

Yaani hata nikikatiza sehemu nikaona watu wanakunywa bia, nami nikazipiga picha hizo bia.

Nikaja nikazirusha kwenye huu uzi.

Wapo wataonyong’onyea na kuniona najimwambafy 🀣.

Kaazi kweli kweli!

Oh well, such is life.
 

Duh, Mi ntapost chochote kikikaa mbele ya camera ya simu 🀣, Vitu vingine mi vinanifumbua macho sana . Hata Mtu akipost menu , Tayari nishajua msosi bei gani pale , ina msaada kwangu 🀣. Masela Mposti kila kitu . Tena sasa hivi watoto wameenda shule!




Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Dealership ya Maserati!

Does it mean I own the dealership? Does it mean I own a Maserati? Even the poor man’s Maserati [Ghibli]?

It ain’t that serious. No one should lose sleep over it.

 
πŸ˜€πŸ˜€
 

Hapo kwangu unepatiiiaaa!!
Wewe utakuwa Unanijua kabisaa
 
Nadhani iundwe kamati ya uchunguzi kwanini mwanzo haukulalamikiwa?πŸ˜€πŸ˜€
Mwanzoni selfie zilikuwa selfie kweli, wengine tukajisahau na madawa ya Mshana Jr tukajipost bila hata emoj waliona wakaona...

watu wengine ni anonymous forever hawataki hata aina ya vidole vyao vifahamike hapa JF.
Mwingine katupia zake kiatu kikali kasema Nyani Ngabu unakuwa huwezi kujua kama ni chake au cha google kisa tu amekipost member fulani hapa raia wanaona yule kama anaSHOW OFF kisa kapost kitu kikali / cha gharama.

Me naona mitazamo ya watu ndio iko hoves πŸ˜€πŸ˜€ mtu anapata kiungulia cha nafsi kisa kuna member kapost gari ya mzungu akijicheck yeye hata ya mchina hana au ipo garage huu mwez wa 7 ni lazima ahisi yule member anajimwambafy kumbe walaa mtazamo wake ndio umempeleka pabaya.

Ni hayo tu, Don't hate, get inspired ❀❀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…