PRO 90
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 301
- 817
Pambana mzeeLeo asubuhi nimetoka chuo baada ya kutafakari kuwa sina hela ya kula. Siwezi tumia savings kizembe maana lengo halitotimia. Nikaja kitaa kufanya mishe flani kumbe inahusisha store ya vifaa vya ujenzi. Mi nilikuja ili mradi nipate hela ya matumizi hata sikujua ni kazi gani. Nishachoka hapa na nina njaa.View attachment 1345209
Sent using Jamii Forums mobile app
