Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo asubuhi nimetoka chuo baada ya kutafakari kuwa sina hela ya kula. Siwezi tumia savings kizembe maana lengo halitotimia. Nikaja kitaa kufanya mishe flani kumbe inahusisha store ya vifaa vya ujenzi. Mi nilikuja ili mradi nipate hela ya matumizi hata sikujua ni kazi gani. Nishachoka hapa na nina njaa.
Screenshot_2020-02-03-14-08-21-58.jpg
 
Back
Top Bottom