Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Here we go football 🏈 junkies.

It’s kickoff time in the 305.

10DCFC07-B709-4E5F-A598-826C55A0CF16.jpeg
4EC91672-3F5F-4A5B-AB17-7FC4E9866A2B.jpeg
 
Ahahahaaa. Udevu ninao...tena wenye rutuba na uliopaliliwa vyema kabisa.

Lakini huyo si mimi.

Huyo ni Richard Sherman. Mimi ni Nyani Ngabu 😄

Nimemuona na nilielewa ila nikaona nitie neno kuhusu udevu, najua bajeti na fungu la udevu wako ilivyo nono.

Nilikua natupia macho naona kidogo umerushia rushia vitabu kuweka mandhari murua.
 
Back
Top Bottom