Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dona unaweza ukala bila mboga kwa ladha nzuri mdomoni huo uchungu ni mahindi yaliotumika tu wa usi singizie dona sembe ndo haina ladha mdomoni.

'mtindilo'
Boss Kama wewe Ni tamu kwako usilazimishe iwe tamu kwa kila mtu.
Yawezekana wewe unapenda Dona Mimi sipendi,unachukia sembe Mimi napenda.
Kila mtu na ale anachotaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chips za kupika mwenyewe nakupa big up kwa sababu hazikinaishi afu zinakuwaga tamu sana.
Mchana mimi wali, ndizi, chips, pilau inategemea na mood ya siku hiyo. Ugali weekend nikiwa home napo ni Mara chache mno

Usiku tambi, ndizi, chips, wali Mara chache.
Ndo maana mnakuwa na vitambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hizo ndizi nakula Mara chache Sana usiku..Mara nyingi Ni wali.
Pilau Mara nyingi weekend j2.
Chipsi Ni kama breakfast yangu.
Kuna watu huwa wanasema chipsi za kujipikia hazinogi.. Mimi huwa zinanoga vizuri tu na huwa hazinikinai..Tena nikikata na kachumbari Basi jiko Zima linanukia.
Mchana wangu haujakamilika Bila ugali,ugali wa kwetu mlaini wa unga wa mahindi ya kulowekwa [emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni Kiwavi jeshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeelewa dogo?
Uanze kula ugali wa unga wa mahindi yaliyokobolewa na kulowekwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mama anaandaaga hivi...anachambua mahindi na kuyapeta kisha anaosha anaanika ndio yanaenda machine.
I swear ugali wa home unakuwaga mtamu...Ila me nikishatoka home na ugali nasahau kula.
 
Back
Top Bottom