Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,200
Mimi nalazimika kula cafe hii japo mboga zao Ni mbaya ,nakula sababu ya sembe.
Kuna cafe mboga zao Ni nzuri ila wanapika Dona,Dona Mimi hunilishi hata bure
Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani Bora nishinde njaa kuliko kula Dona.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dona Noma sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nakusubiri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanjelo
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] kwahiyo umeenda mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure thing[emoji111]Lol let's put up a petition.
Yaani Bora nishinde njaa kuliko kula Dona.
Ugali gani mchungu Kama Panadol[emoji37]!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani, chungu sana[emoji3]pole, dona mwenyewe sili iko kama pumba
HongeraMapema jioni nikimalizia kupanda mahindi...!
Chat na picha[emoji1]View attachment 1338930
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapema jioni nikimalizia kupanda mahindi...!
Chat na picha[emoji1]View attachment 1338930
Sent using Jamii Forums mobile app
OMG....rear of the year!Mapema jioni nikimalizia kupanda mahindi...!
Chat na picha[emoji1]View attachment 1338930
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi panadol ni chungu?!Yaani Bora nishinde njaa kuliko kula Dona.
Ugali gani mchungu Kama Panadol[emoji37]!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote hostel.
Ukitaka kupanga uwe na sababu zenye mashiko..mf una familia au mjamzito
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kazi ya kibarua mkuu.. hata kupanda au kupalia.
Life is so terrible miserable out here
Panadol sio chungu ila zinakaba kooniHivi panadol ni chungu?!
1. Hamjui kupikaYaani Bora nishinde njaa kuliko kula Dona.
Ugali gani mchungu Kama Panadol[emoji37]!
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Hamjui kupika
2. Mnatumia unga uliokaa muda mrefu - ni lazima uwe mchungu
Dogo unakula dona maharage kabichi unategemea nini? Linaanzaje sasa kupita kooni