NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,744
- 49,623
Jitahidi kuepuka dona
Dona nimewahi kula sana kijijini na mlenda, bahati nzuri kuanzia mwaka 2000 February sijawahi kula tena hadi leo, na sijalimiss 🤣🤣🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jitahidi kuepuka dona
Uje kwetu uleDona nimewahi kula sana kijijini na mlenda, bahati nzuri kuanzia mwaka 2000 February sijawahi kula tena hadi leo, na sijalimiss 🤣🤣🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Super hot 33c
View attachment 1339445
Tarehe zinaruhusuDuh, Kweli January imeisha, mshale upo juuuuu full Tank [emoji1476][emoji1476][emoji1476]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi hizo ndizi nakula Mara chache Sana usiku..Mara nyingi Ni wali.
Pilau Mara nyingi weekend j2.
Chipsi Ni kama breakfast yangu.
Kuna watu huwa wanasema chipsi za kujipikia hazinogi.. Mimi huwa zinanoga vizuri tu na huwa hazinikinai..Tena nikikata na kachumbari Basi jiko Zima linanukia.
Mchana wangu haujakamilika Bila ugali,ugali wa kwetu mlaini wa unga wa mahindi ya kulowekwa [emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijijini mahindi mnalima wenyewe. Hili Dona letu mahindi hujui yamekaa muda gani kwenye ghala au yamewekwa dawa ganiDona nimewahi kula sana kijijini na mlenda, bahati nzuri kuanzia mwaka 2000 February sijawahi kula tena hadi leo, na sijalimiss 🤣🤣🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Awww wewe[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Mimi Kijiji nilichozaliwa ilikuwa hakuna Dona Wala sembe.Kijijini mahindi mnalima wenyewe. Hili Dona letu mahindi hujui yamekaa muda gani kwenye ghala au yamewekwa dawa gani
Awww wewe[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Mate yamenijaa..ila hizo chache Sana siwez kushiba[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
😀 😀 😀 😀
Tarehe zinaruhusu
Uje kwetu ule
Mimi nashiba kuanzia sahani mbili na kuendelea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizo zilikuwa za kuonja maana na mie mate yalinijaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo Buza kwa MpalangeHebu taja coordinates tutaathimini location [emoji7]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi nashiba kuanzia sahani mbili na kuendelea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app