Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

1. Hamjui kupika
2. Mnatumia unga uliokaa muda mrefu - ni lazima uwe mchungu
Dogo unakula dona maharage kabichi unategemea nini? Linaanzaje sasa kupita kooni

Dona hata ungenipikia vizuri vipi Mimi sili.
Nimezoea ule ugali wa unga uliolowekwa.
Yaani mahindi yakikobolewa yanalowekwa hata saa nzima,wengine wanayaacha siku 1 au 2,yanaoshwa kwanza yanaanikwa yanasagwa unga.

Hii sembe yenyewe nakula Basi tu,halafu ndio unipe Dona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushawai kula dona sato wewe?! Go and try it 😋😋
Ila kiukweli kutoka moyoni mimi sipendi ugali,nakulaga ile mara moja kwa week 3 na hapo pawe na nyama au samaki. Na nikiwa kwa watu nakula tu ili mradi nisife
 
Ushawai kula dona sato wewe?! Go and try it
Ila kiukweli kutoka moyoni mimi sipendi ugali,nakulaga ile mara moja kwa week 3. Na nikiwa kwa watu nakula tu ili mradi nisife
Ugali wowote wa Dona yaani kwangu Ni mateso.
Hata ungeniwekea mboga nzuri vipi..

Mimi ugali naupenda Sana tu,hasa ukiwa na mboga nzuri,Tena ule ugali wa unga wetu wa mahindi ya kulowekwa mweupe mlaini mtamu huo.
Mchana najisikia Raha nikila ugali..ila tangu nimekuja huku hii Ni Mara yangu ya tatu nakula ugali,,ugali wao Ni mbaya aisee.
Ulipita Muda mrefu sijakula ugali Hadi roho ikaniuma

😂😂😂😂 unavyojitahidi kupangua mashambulizi ya dona, dogo dona linanenepesha ww jitahidi uwe unakula hata once in a while
 
Wali hunenepi cha zaidi utapata kitambi huyo aliye kuletea dona safi sana alijua kukukomesha.

Dah....miezi mitatu nimekula wali na kitambi sijapata.

Nikiwa nyumbani ratiba yangu Ni chipsi,ugali na wali.
Chipsi najipikia mwenyewe asubuhi..nakula niwezavyo maana viazi tunalala na kuamka navyo
Mchana wangu haujakamilika Bila kula ugali,,ule ugali wetu mlaini,unga tunaandaa wenyewe..hatununui.
Usiku Ni wali wali wali.
Familia za kikulima Raha sana

Aisee 🤣🤣🤣
Chips za kupika mwenyewe nakupa big up kwa sababu hazikinaishi afu zinakuwaga tamu sana.
Mchana mimi wali, ndizi, chips, pilau inategemea na mood ya siku hiyo. Ugali weekend nikiwa home napo ni Mara chache mno

Usiku tambi, ndizi, chips, wali Mara chache.
 
Mimi hizo ndizi nakula Mara chache Sana usiku..Mara nyingi Ni wali.
Pilau Mara nyingi weekend j2.
Chipsi Ni kama breakfast yangu.
Kuna watu huwa wanasema chipsi za kujipikia hazinogi.. Mimi huwa zinanoga vizuri tu na huwa hazinikinai..Tena nikikata na kachumbari Basi jiko Zima linanukia.
Mchana wangu haujakamilika Bila ugali,ugali wa kwetu mlaini wa unga wa mahindi ya kulowekwa

We nae na huo ugali wako emu nenda nao huko 🤣
Chips za kukaanga mwenyewe kwangu ni bora kuliko za kununua
 
Super hot 33c
IMG_20200129_123752.jpg
 
Back
Top Bottom