Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,229
Chief sio kitambi hicho, 619 pack hiyo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Mtu anaeumwa anakuwa na kitambi?
Amin/Amen
Wewe unaonaje kwani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimerudi kusoma kule juu.
I wish huu uzi wa zamani ujurudie aisee
Hivi Mshana Jr dawa zako ziliishia wapi?
Uzi umepoteza ile Kasi ya mwanzo tuliyokuwa tunatumbua macho humu muda wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitaa hapo tunasema "wanajambisha".
Petro akamwambia yesu,kwakua umesema "nitashusha nyavu"
Nimerudi kusoma kule juu.
I wish huu uzi wa zamani ujurudie aisee
Hivi Mshana Jr dawa zako ziliishia wapi?
Uzi umepoteza ile Kasi ya mwanzo tuliyokuwa tunatumbua macho humu muda wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mia mbili ina shepu nayo!Bahati nzuri sijaacha shilingi yangu yoyote Kwenye line zangu.
Kama ipo Basi haivuki Mia mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
So hatatimiza aliyoyasema!!!?Huyo maneno mingiiii
Ndioo!!fanya utimize uliyoyaahidi kwa dadako Sakayo please.
Huu Uzi Zamani ulikuwa Moto sanaHata mie kuna muda huwa narudi kusoma vya nyuma daah,, If I could I would turn back the time..
Sent using Jamii Forums mobile app
Petro akamwambia yesu,kwakua umesema "nitashusha nyavu"
controla nae anasema,kwakua Saint anne umesema basi Atapunguza.
Ila nitajitahidi kusajili ili Mia mbili yangu isipoteeMia mbili ina shepu nayo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] awww jamani hilo jibu umelijuaje
Sent using Jamii Forums mobile app