Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Mkuu, na wewe unaji-crop uso wakati kila mtu anakujua humu? 😂😂
Na mimi naomba niwafuate huko kwa Mwasimba.
Jael hatoamini kukuta manyoya tu hapa picha ishaondolewa[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani naanzia hapa hapa
Turudi mid february
Tukakufundishe kutoa mabanzi na nakozi kwa mafurushi
Una Jicho zuri mzigua.
View attachment 1327375 after church [emoji547] [emoji7][emoji7][emoji7][emoji39] kwa mbaliiiii
Nasubiri wafunge kwanzaNani kakudanganya,, angalia kwa simu mama bonyeza hiyo code niliyokutajia..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lini unarudi huko tukutane Ubungo natamani sana kukanyaga cha Mbeya.
Nikipigaga mmeya nikaanza kumeditate kuhusu ule ujauzito nasema Mzungu alaaniwe milele.Kuna mtu kaniuliza mbona hajawahi kuniona kanisani . Nikamjibu, hakuna namna ningekubali eti missus kapata mimba bila kuingiliana na mwanaume au kwa njia za kisayansi. Ile hadithi wanatuambia kwenye kile kitabu ilileta maana utotoni tu. Hiyo ni moja kati ya mengi yasiyoleta maana kwangu.
View attachment 1327388
Unavyopenda adventure sasa; ujue na uzee wangu wote huu sijawahi kupanda treni etiHaha lol na mie ndiyo nimepanga kuenda tarehe hizo sema mie naenda kwa treni
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikipigaga mmeya nikaanza kumeditate kuhusu ule ujauzito nasema Mzungu alaaniwe milele.