Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,341
- 17,646
Kiti cha mbabe hicho akiwa anatoa maamuzi.Kiti cha uganga?
Jr![]()
Kiti cha mbabe hicho akiwa anatoa maamuzi.Kiti cha uganga?
Jr![]()
Nipo..usilie.



mwee halafu wewe ndiyo umenikumbusha nilishasahau kabisa
Nipo..usilie.
Halafu weekend inaisha hivyo, lizarazu alikutimizia ahadi yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nimekuombea dear
Kwenye TV panaonekana pakubwa eh?
Hata mm sikujua kama hapo ni Whitehouse aseeKwenye TV panaonekana pakubwa eh?
Hapo ni Whitehouse kwa Donald
Kwanini nidanganye sasa..si kweli
Ila ulishaiona W.H kwenye TV?Kwanini nidanganye sasa..
Mimi nilijua ni moja tu ya majengo
Hadi ndani nimeingia sana kupitia series na muvi mbalimbali..Ila ulishaiona W.H kwenye TV?
Vers, ni movie/series gani imechezewa Whitehouse?Hadi ndani nimeingia sana kupitia series na muvi mbalimbali..