Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Kumbe wewe km Mimi.Snap ndio sijawahi kumiliki hata APP yake
Unakuta watu mara wanajitafuna midomo yaani ni shughuli[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wewe km Mimi.Snap ndio sijawahi kumiliki hata APP yake
Kumbe wewe km Mimi.
Unakuta watu mara wanajitafuna midomo yaani ni shughuli[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. Saint anne usitufanyie hivyo sie wagonjwa wako[emoji3][emoji3]
MUNGU wangu wanao wamenipa cheo huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dr. Saint anne usitufanyie hivyo sie wagonjwa wako[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi mi naishiaga kucheka tu.Ama anajichukua video for no reason...yani haongei kitu ni anaiface tu camera huku anajishaua shaua [emoji23]
Wadada tuna tabu asee!
Wewe na Huyo Sankara mtakuwa na makengeza[emoji23][emoji23][emoji23](joking)
Halafu ninazo bado.
Wewe na Huyo Sankara mtakuwa na makengeza[emoji23][emoji23][emoji23](joking)
Haiewezekani mmeacha kuangalia Mambo yanayoonekana,mmeenda kuangalia yasiyoonekana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu nionyesheni..
Halafu ninazo bado.
Angekuwepo ningeziweka hapa kwa ruhusa yake[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu nionyesheni..
Bila hivyo comments zenu Ni batili[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mama Beijing hukuzisave.?
hahahahaKama wewe una chuchu hivyo sipati picha kwa ........ zako.
Nakutania mtani[emoji23][emoji23]