Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,857
- 89,753
Hahahahahah yeah kwenye mahesabu huku nimepitia mengi mengi kidogo 😅
Sipo insta,sipo watsap,sipo fb nipo jf tu..
Hayo sisomi...nilitaka kukuonyesha tu miandiko inavyoelekeanaView attachment 1311603
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hiyo mitandao mingine ilishanishinda..hasa insta.Mie huwa nafanya vyote sometimes ....kuchat,mziki hata kuongea na simu huku napitia pitia ya darasani![]()
Mimi hiyo mitandao mingine ilishanishinda..hasa insta.
At least watsap kidogo..na jf ndo Niko active sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri mdogo wangu akikubali tu,
WhoiiiiiSubiri mdogo wangu akikubali tu,
Nitatenda muujiza..!!![]()







Mimi mpira napenda ila siwezi kufwatilia.Kwa sie tunaopenda umbea na mpira kidogo insta na twitter ni A must
WhatsApp ndio siipendi

Mimi mpira napenda ila siwezi kufwatilia.
IG kwa kweli ilinipita kushoto hata app yake Sina,sijui Ni ushamba wangu huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mpira napenda ila siwezi kufwatilia.
IG kwa kweli ilinipita kushoto hata app yake Sina,sijui Ni ushamba wangu huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nashindwa kabisa kui install.Kumbe tupo wengi mm IG pia haziivi naona ni fake life tu za celebs ila kuna vya kujifunza pia .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli.Sio ushamba....huna interests nako tu
Kwa kweli.
Kuna vitu nadhani vitakuja kunisumbua uzeeni..
Sijui snap chat,kuweka pua za mbwa usoni yaani Mimi kwa kweli hazijanipata
Sent using Jamii Forums mobile app