Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,952

Hahahaha, nimeanza na mazoezi gym.
Aurora jolieKumbe tupo wengi mm IG pia haziivi naona ni fake life tu za celebs ila kuna vya kujifunza pia .
Sent using Jamii Forums mobile app















I love you



Pombe yangu ya mnazi, na Dar hakuna minaziAurora usimsikilize huyu amelewa![]()















Wakati hata huoni aliyeko nyuma yako, huko mbali unaonaje?!Mimi ni nabii, naweza kuona mbali















Wakati hata huoni aliyeko nyuma yako, huko mbali unaonaje?!
Cᵃʳᵉᵉᵐ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Ngoja nilale, Aurora ukimuona Saint anne mwambie namtafuta, nina ujumbe wake