Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama hawauzi pombe haina maana
maana ipo.
huwezi amini, kipindi chote kuanzia xmas mpaka usiku wa mwaka mpya hotel ilikuwa full booked.

nasikia mfalme wa morocco na familia yake alichukua sehemu kubwa ya hii hotel kwa mwezi mzima. jamaa alikuwa Zanzibar kula bata.

inasemekana mteja akija na vilevi vyake halafu ukaenda navyo chumbani, nobody cares.
 
nyoo kwamba wewe umezaliwa mwaka 1945?? hebu huko

Sent using Jamii Forums mobile app
We noma sana. Umejuaje mwaka wangu niliozaliwa ? Hakika, Kuna watu ni zaidi ya manabii hapa duniani. Sikuwahi kujua kuwa kuna manabii wa kimya kimya. Maana kwa kipawa chako hicho cha hayo maono kwa dunia ya sasa ungekuwa ni mmoja kati ya hawa wanaojiita manabii wakubwa hapa Duniani.
 
....... Bieber anaanza kumuiga Chriss brown
Screenshot_20200103-101038.jpeg
 
Back
Top Bottom