wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,390
- 29,038
Sory mkuu wewe ni nesi?
View attachment 1310563
Good nyt wana!
View attachment 1310563
Good nyt wana!
Awww[emoji8][emoji8][emoji8]
Naomba raba dada
Uwe unatabasamu basiiiView attachment 1310563
Good nyt wana!
Na takwimu zenu za kikao Cha beijing[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
We noma sana. Umejuaje mwaka wangu niliozaliwa ? Hakika, Kuna watu ni zaidi ya manabii hapa duniani. Sikuwahi kujua kuwa kuna manabii wa kimya kimya. Maana kwa kipawa chako hicho cha hayo maono kwa dunia ya sasa ungekuwa ni mmoja kati ya hawa wanaojiita manabii wakubwa hapa Duniani.
....... Bieber anaanza kumuiga Chriss brownView attachment 1310816
Naomba raba dada
Uweke kwenye lile bag
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Halafu umemtosa shemeji yangu mpaka kapotea.
Hatumuoni tena handsome wetu humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe we ni mkubwa mwenzangu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi unaniona mtoto mwenzio eenh
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu muite jamani, saivi nakubali kabisaa my dear!!
Mi Nimemmiss Sana..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi kweli kweli acha tu
Sent using Jamii Forums mobile app