20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,261
Kiatu Chako kizuri.Hakuna awezae rudi nyuma na kubadili ambayo yalikwisha tokea, so work on your present to make yourself a wonderful future.
Heri ya mwaka mpya wakuu.View attachment 1310423
Wewenimama[emoji106]
Sawa sawa nafrahi kuskia uko gudi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie niko poa kabisa mkuu Hedaki Tojo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sio uchumi!!nimeamua tuNa uchumi huu mbona inawezekana tu mkuu
Huyu jamaa natakaga nijue ni nani na anafanya kazi gani!??maana pesa anayo na always yeye anakula bata tu january-december.moja kati ya watu maarufu duniani wanaokula bata mpaka kuku anaona wivu ni dan bilzerian.
huyu jamaa ni playboy maarufu sana huko "unyamwezini", picha zake nyingi huwa anaonekana kuzungukwa na walimbwende mbalimbali.
hii ni recap ya baadhi ya bata alizokula mwaka jana.View attachment 1310403
Hata mm nimemsoma secondary huko Ug.Niliwasoma miaka hiyoo niko sekondari.
Huyu jamaa natakaga nijue ni nani na anafanya kazi gani!??maana pesa anayo na always yeye anakula bata tu january-december.
Sent using [ ]
Na mi nakutumia namba zangu za NIDA ili uzigeuze vocha basi
Ila ana hela asee