Emery Paper
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 1,427
- 2,737
Nshaanza kupata mashaka kuwa huko kwenye kitengo nyeti kinachohusika na kuchakata hizo namba za vocha.

pendezaaa
Hakuna awezae rudi nyuma na kubadili ambayo yalikwisha tokea, so work on your present to make yourself a wonderful future.
Heri ya mwaka mpya wakuu.View attachment 1310423

Niliwasoma miaka hiyoo niko sekondari.kumbe history yake unaipata vizuri
Sent using [ ]
Asante Chloe.happy new year kwenu nyote mashabiki kindakindaki wa uzi huu.
nipo zanzibar katika matembezi na mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka.
leo nilienda kuitembelea hotel verde. ukiondoa suala la kutouza aina yoyote ya kilevi, huduma zao zipo poa sana kwa bei nafuu.
hotel hii ya nyota tano inamilikiwa na mwekezaji mzawa said salim bakhresa.
kwangu huu ni uwekezaji mkubwa sana katika sector ya huduma za hotel kuwahi kuushuhudia ukifanywa na mtanzania.
View attachment 1310362View attachment 1310360
Mkuu habari za mwaka mpya wanasemaje USANa uchumi huu mbona inawezekana tu mkuu
Umenikumbusha huyu batterfly...huyu dada sijui kaenda wapi.
Lizarazu jamani dah,Nimemmiss Mimi..inabidi niende kumsaka huko kisasa.
Hao wawili nakupa kazi ya kuwaleta
Sent using Jamii Forums mobile app
happy new year kwenu nyote mashabiki kindakindaki wa uzi huu.
nipo zanzibar katika matembezi na mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka.
leo nilienda kuitembelea hotel verde. ukiondoa suala la kutouza aina yoyote ya kilevi, huduma zao zipo poa sana kwa bei nafuu.
hotel hii ya nyota tano inamilikiwa na mwekezaji mzawa said salim bakhresa.
kwangu huu ni uwekezaji mkubwa sana katika sector ya huduma za hotel kuwahi kuushuhudia ukifanywa na mtanzania.
View attachment 1310362View attachment 1310360

aise