Noel Ngiama Makanda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 1,782
- 3,111
Sijaelewa [emoji30]
Hahaha, kufungua mabano a.k.a bracket of
Sijaelewa [emoji30]
Unataka nini kibadilishwe hapo ili uwahi kuingia kwenye ndoa[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] kama ndiyo hivyo basi mie ndoa itanisubiri sana tu kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka nini kibadilishwe hapo ili uwahi kuingia kwenye ndoa
Hahahaha, Zayn alikuwa ana sauti bwana
Hapa nasikiliza Album Harry Styles Billboard.
It's the best aiseee
View attachment 1309629
Naam mkuu wangu,kwema!?Hedaki Tojo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hedaki Tojo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema kabisa mkuu!!!!!!!!!
Hadi wewe umecheka ??
Ndio jina langu kabisa mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]Kwema kabisa mkuu!!!!!!!!!
Yaani of all the names ukaamua kujiita General Hedaki Tojo ??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila General Tojo of Japan alikua mwamba kabisa asee ni zaidi ya JiweHadi wewe umecheka ??
Tojo was really really a menace!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ila Sugiyama ndiyo alikuwa mkaksi bwana, alijifanyia Seppuku baada ya kushindwa vita. [emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]Ila General Tojo of Japan alikua mwamba kabisa asee ni zaidi ya Jiwe
Sent using [ ]
Niko hapa Mbauda nakuja.Kesho nitakuwa Sombetini 😝
Itakuwa wafanyakazi siku hiyo walikuwa likizo.
[emoji3][emoji3]kumbe history yake unaipata vizuriIla Sugiyama ndiyo alikuwa mkaksi bwana, alijifanyia Seppuku baada ya kushindwa vita. [emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]